Thursday, November 5, 2015

TUPENDE JAMII ZETU WATANZANIA HASA WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUM








Naipenda Tanzania na jamii kiujumla kama watanzania tunao wajibu,au tunapaswa kujua kwamba tumezungukwa na jamii ambayo ipo kwenye wimbi kubwa
la umasikini hivyo tuwajali ili kuondoa wimbi hilo la umasikini kwakuwa hilo ni jukumu letu sote.TUUNGANE TUDUMISHE UMOJA NA MSHIKAMANO TUWE PAMOJA TUSIBAGUANE WALA KUWANYANYAPAA WALIONA MATATIZO

No comments:

Post a Comment