Thursday, November 5, 2015

Hotuba ya kwanza ya shukrani aliyotoa Rais Magufuli baada ya kuapishwa



John Pombe Joseph Magufuli (56) ameapishwa mapema leo kuwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Baada ya kuapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Jaji Othaman Chande Rais John Magufuli alitoa neno la shukrani kwa watanzania na kuwataka washindani wake saba waliokuwa wakichuana katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu kuweka  ...

No comments:

Post a Comment