Thursday, November 5, 2015

Dkt. Magufuli Aapishwa Rasmi Kuwa Rais wa Jamhuri Ya Muungano Tanzania

Thursday, November 5, 2015
















Hatimaye, Dkt. John Magufuli ameapishwa rasmi na kuwa Rais wa serikali ya awamu ya Tano ya Jamhuri ya muungano wa
Tanzania akihitimisha rasmi uongozi wa serikali ya awamu ya nne iliyoongozwa na Rais mstaafu, Jakaya Kikwete.   Rais Magufuli na makamu wake Bi. Samia Suluhu wamekula kiapo leo katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam mbele ya viongozi wa..

No comments:

Post a Comment