Wednesday, November 4, 2015

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mwanamuziki Queen Darleen, Diamond Plutnumz amzawadia gari mpya



Leo star na mkongwe wa Bongo Flava aitwae Queen Darleen, anasheherekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.   Sasa kaka yake ambaye pia ni Icon wa Muziki Afrika hivi sasa
Naseeb ‘Diamond’ Abdul, ameamua kumzawadia zawadi ya gari mpya dada yake. kupitia ukurasa wake wa Instagram, Plutnumz ameweka picha ya gari hiyo na kuandika ‘Happy Birthday my luvly and beutiful sisy.. let dat small...

No comments:

Post a Comment