Friday, November 13, 2015

Lowassa Kuongea na Watanzania Leo jijini i Arusha


Aliyekuwa mgombea wa urais wa Chadema, Edward Lowassa anatarajia kuhutubia mkutano wa kumnadi mgombea wa ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema na kuwashukuru Watanzania kwa kura
walizompa katika Uchaguzi Mkuu uliopita. Jeshi la Polisi limeridhia mkutano huo utakaofanyika viwanja vya Shule ya Msingi Ngarenaro, lakini limepiga marufuku maandamano yoyote. Huu utakuwa mkutano wa kwanza..

No comments:

Post a Comment