Wednesday, November 4, 2015

Kesho Alhamisi, Novemba 5, Ni Sikuu Na Mapumziko.......Rais Kikwete ametangaza Mapumziko ili Kuikaribisha Serikali Mpya























Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameamua na ameitangaza kesho, Alhamisi, Novemba 5, mwaka huu, 2015, kuwa Sikukuu na siku ya mapumziko. Rais Kikwete amefanya uamuzi huo, ili kuwawezesha Watanzania kushiriki katika sherehe za kuhitimisha Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nne na kuingizwa madarakani Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kuwa..

No comments:

Post a Comment