Thursday, November 5, 2015

Kazi Imeanza: Rais Magufuli Amteua George Masaju Kuwa Mwana Sheria Mkuu wa Serikali



Saa chache baada ya kuapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Magufuli ameanza kazi kwa kasi
zaidi ambap leo hii ameanza kazi kwa kumteua mwanasharia mkuu na kuitisha bunge. Akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya serikali katika viwanja vya Ikulu Jijijini Dar es salaam katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kuwa Rais Magufuli amaenza kazi  leo hii...

No comments:

Post a Comment